HEALTHY VILLAGERS CAMPAIGN

TANGAZA HAPA CALL 0712 005 865

Tuesday, January 1, 2013

Watu 60 wafariki katika sherehe za mwaka mpya

Watu 60 wamefariki dunia ktk jiji la Abidjan nchini Ivory Coast katika sherehe za mwaka mpya. Mkasa huo umetokea katika maenesho yaliyokuwa yanafanyika kwenye uwanja wa  Felix Houphouet Boigny.


Sababu ya ajali hiyo bado haijajulikana. Ajali ilitokea wakati watu wakirudi nyumbani baada ya maenesho. Idadi ya waliokufa inategemea kuongeza. Waliokufa wengi zaidi ni watoto.

Watu wengi wamejitokeza kupata taarifa za ndugu zao waliopotoea. Mwanamzuki Chris Brown jana usiku alitumbuiza katika uwanja huo

No comments:

Post a Comment