HEALTHY VILLAGERS CAMPAIGN

TANGAZA HAPA CALL 0712 005 865

Thursday, December 27, 2012

Picha ya Leo:Ajali ya Pikipiki



Ajali za pikipiki zimeendelea kutoa uhai na kuachia watanzania wengi ulemavu wa kudumu. Je unadhani serikali inahitaji kuchukua hatua za ziada kupambana na hili jananga. Hii ni ajali ya pikipiki iliyotokea leo Posta,Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment