HEALTHY VILLAGERS CAMPAIGN

TANGAZA HAPA CALL 0712 005 865

Wednesday, December 26, 2012

Clinic Yetu: PUNYETO(Masterbation) INA MADHARA GANI???

Mimi naitwa Isaack ni kijana mwenye miaka 28, nimeoa. Nimekuwa na mazoea ya kupiga punyeto kuanzia mwaka 2007 nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu baada ya kuanza kuangalia picha za ngono. Licha ya kwamba nimeoa lakini naona kama siwezi kuacha mchezo huu. Nimekuwa nikisikia watu wakisema vijiweni kuwa mtu anayefanya masterbation anaweza kupoteza nguvu za kiume au kushindwa kumridhisha mke. Nikisikia stori hizo huwa naingiwa na hofu. Kwa sasa  sina tatizo lolote na shemeji yenu anapata haki yake kama kawaida. Je nini madhara ya punyeto kama nitaendelea kwa muda mrefu?

Ni mimi
Isaack.

4 comments:

  1. Clinic Yetu tayari imefunguliwa na ndugu yetu Isaack anakuwa wa kwanza kufungua mlango. Isaack anapenda kujua madhara ya punyeto. Hiyo ndo shida iliyomleta kwenye clinic...Msaidie Isaack....

    ReplyDelete
  2. Mimi naona punyeto ni salama na aina madhara yoyote kiafya kwanza inaweza kukuepusha na maambukizi ya ugonjwa wa zinaa. Lakini kama uko kwenye ndoa hunasababu ya kufanya hivyo

    ReplyDelete
  3. Tafiti zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimi 80 ya wanafunzi wa vyuo vikuu wamefanya mara moja ktk maisha yao....

    ReplyDelete
  4. Nahitimisha mada hii kwa kumueleza bwana isaack kuwa punyeto haina madhara makubwa ingawaje mara chache huweza kusababisha uume kivunjika
    kama ulikuwa na makovu.Vingenevyo punyeto ni salama

    ReplyDelete