HEALTHY VILLAGERS CAMPAIGN

TANGAZA HAPA CALL 0712 005 865

Saturday, December 29, 2012

Clinic Yetu: Je kama mke wangu ana mimba namimi naweza kuwa na dalili kama zake?!!

Nami najitokeza kwa mara ya kwanza ktk huu ukurasa. Mimi naitwa James, mke wangu anamimba ya miezi  miwili na ni mimba yetu ya kwanza. Amekuwa akisumbuliwa na kichefuchefu  na mara nyingine anatapika. Nami nimepata matatizo kama hayo kwani siku za karibuni nimekuwa mchovu, na   napata kichefuchefu. Nimekwenda hospitali nikafanywa vipimo sikuwa na ugonjwa wowote, lakini rafiki yangu kaniambia eti kwa sababu mke wangu ana mimba dalili zile zimeamia kwangu. Je ni kweli kwamba hiyo inaweza kutokea??

No comments:

Post a Comment