HEALTHY VILLAGERS CAMPAIGN

TANGAZA HAPA CALL 0712 005 865

Sunday, November 18, 2012

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME: Kwanini ndoa yako iyumbe?

Upungu wa nguvu za kiume ni tatizo linalo wakabiri kw kiasi kikubwa wanaume wa umri wakati
Ni nini hasa: Erectile dysfunction (ED) (kwa kiengereza) ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kuendeleza au kudumisha kusimama kwa uume wakati wa tendo wa ngono [1].
Tatizo hili linasababishwa ma sababu nyingi zikiwemo matatizo ktk mishipa ya damu, ugonjwa wa kisukari, baadhi ya dawa, ajali pamoja na matatizo ya kisaikolojia
.Sababu zingine ni umri, watu wenyewe umri kati ya 60 wako na hatari mara nne ya walio na miaka 40
.Uvutaji wa sigara
.Magonjwa ya figo n.k

Tatizo hili linaleta ndoa nyingi kusambaritika
Matibabu yanategemea kiini ya tatizo
Tiba mbadala: FDA mamlaka ya chakula na dawa ya US haipendekezi tiba mbadala kutibu tatizo hili.
Wahi haraka hospitali kabla ndoa yako haijatetereka.

No comments:

Post a Comment